GRASSROOTS
AUTREACH
PROJECT
(GAP)
'Come n' Join' Programme
Organised by Zenjydar
Community Association

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA KUJITOLEA
(Volunteering)
Zenjydar
Community Association ingependa kuwatangazia nafasi ya kazi ya kujitolea
au (Volunteering) kwa wale wenye sifa kama zilizotangazwa hapo chini,
kushughulika na kazi za GRASSROOTS AUTREACH PROJECT au GAP
Project ambayo imevumbuliwa na inaongozwa na Zenjydar Community
Association.
NAFASI YA KAZI: KAZI YA KUJITOLEA
AU (VOLUNTEERING) YA AFISA MWANDAMIZI
MUDA: WIKI 15 (KUMI NA TANO) AU
MIEZI MITATU
MASAA: 3.5 KWA WIKI
MALIPO: UTALIPWA USAFIRI NA ULAJI
MAHALI: PLAISTOW, NEWHAM, EAST
LONDON
TAREHE YA MWISHO YA MAOMBI:
15/03/2008
TAREHE YA TESTI: 17/03/2008
TAREHE YA KUANZA: 18/03/2008
KAZI ZA KUFANYA:
i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za
kawaida kwa kutumia kompyuta.
ii) Kutuma na kupokea barua yabisi na
barua pepe, kufanya utafiti kwa njia ya mtandao na kumpa habari Mkuu
wake.
iii) kupokea ujumbe kwa njia ya simu na
kumjulisha Mkuu wake.
iv) Kuhifadhi, kutoa na kurudisha majalada
ya 'Come n' Join' Programme katika sehemu zake husika.
v) Kumjulisha Mkuu wake kwenye hali yoyote
ambayo si ya usalama ofisini.
vi) Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu
wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote
anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
SIFA ZA MUOMBAJI:
Awe mjuzi na amepata mafunzo ya kutumia
kompyuta kwenye programu za Microsoft Windows, Microsoft Word, Excel, Internet, Email
na Filing.
SIFA ZA ZIADA:
Awe mwenye kuzungumza na kuandika lugha ya Kiingereza
au Kiingereza na Kiswahili.
FAIDA:
Tutakupa mafunzo ya kukusaidia
kukuendeleza kazi zako.
Malipo ya usafiri na ulaji yatatolewa.
MASHARTI YA WAOMBAJI WOTE:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua
yabisi au barua pepe.
Wasifu binafsi wa muombaji au (CV).
Muombaji asiwe chini ya miaka 18.
Awe Mwanaume au Mwanamke.
Awe wa kutoka taifa lolote.
Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe au
barua yabisi kwa:
The Chairman Zenjydar Community Association
170 Harold Road
Harold Centre
E13 8AR
EMAIL:
zenjydar@gmail.com
Kwa maelezo zaidi piga simu: 07886535282

Job
vacancy: Temporary Volunteering Administration
Vacancy details:
Hours: 3.5 per week (Tuesdays)
Length: 15 weeks
Location: Plaistow, East London
Closing date: 15/03/2008
Interviews: 17/03/2008
Starting date: 18/03/2008
A
position has come up for a Temporary Volunteering Administration. You
will be providing support to Grassroots Autreach Project (GAP Project),
a project innovated and organised by Zenjydar Community Association
which provides support to Swahili community in East London.
As
part of the support, you will be providing administrative duties towards
‘Come n’ Join’ programme.
Tasks:
-
typing letters
-
send/receive letters and emails
-
answering phone
-
taking messages
-
to manage filing system
-
to liaise with partners
Skills required:
-
Computer literate
-
Able to work on Ms windows
-
Able to use Ms Word, Ms Excel, Internet, Email and Filing
-
Good communication skills
Additional skills:
-
Able to speak Swahili (optional)
Benefits:
-
Advance training on Microsoft Office package will be provided
-
We will give you support all the way
-
Transport and lunch expenses will be provided
All applicants must be:
-
over 18
-
male or female
Submit
your application via email to
zenjydar@gmail.com or
send
to:
The Chairman Zenjydar Community Association
Temp. Volunteering Admin. post
170 Harold Road
Plaistow
E13 0SE
For more information contact: 07886535282
|